sw_tn/ezk/15/01.md

754 B

Maelezo ya Jumala:

Yahwe ananena na Ezekieli katika hii sehemu.

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

je ni jisni gani mzabibu ulivo bora kuliko mti na matawi yaliyomo kwenye miti katika msitu?

"mzabibu si bora kuliko mti wowote pamoja na matawi ambayo ni miongoni mwa miti katika msitu."

Je watu huwa wanachukua mbao kutoka kwenye mzabbibu kufanyia chochote?

"Watu hawachukui mbao katika mzabibu kufanya chochote."

uwa wanatengenezea kitu kutokana na huo

"hawatengenezi kitu kutoka huo kuning'iniza vitu juu yake."

Kama umetupwa kwenye moto kama kuni, na kama moto umezichoma ncha zake zote na katikati pia, je unafaa kwa chochote?

kama moto ume mwisho wa ncha zake na pia katikati, yamkini sio vyema kwa kitu chochote!