sw_tn/ezk/13/20.md

696 B

Bwana Yahwe asema hivi

Tazama tafsiri yake katika 5:5.

hirizi

vitu ambavyo vinavyoaminika vina nguvu ya muujiza

kukamata

"kukamata"

kuyakamata kwa hila maisha ya watu kana kwamba wamekuwa ndege ... watu ambao umewakamata kama ndege

Yahwe analinganisha mapambo ya unabii kukamata kwa ajili ya ndege.

nitazichana kutoka kwenye mikono yenu

Neno "mikono" inarejea inakuja kutawaliwa na unabii. Waongo watatumia utawala wa watu wa Israeli ni kama mikono ambayo imewakamata kurudi kutokana na kukimbia.

havitakamatwa tena katika mikono wako

Kusema hawatakamatwa ni sawa kama kusema watakuwa huru.

kujua kwamba mimi ndimi Yahwe

"kujua kwamba mimi ndimi Yahwe, Mungu wa kweli"