sw_tn/ezk/13/17.md

536 B

mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika 2:1.

weka uso wako dhidi

Tazama tafsiri yake katika 4:1.

binti za watu wako

wanawake wa Israeli

kutabiri dhidi yao

Hii inamaanisha kuunda unabii kutoka kutokana na fikra zao wenyewe.

hirizi

vitu vilivyoaminika vina nguvu za miujiza.

kutengeza vitambaa vya shela kwa ajili ya vichwa vyao kwa kila kipimo, ili kuwinda watu

Mapambo yaliyovaliwa na manabii yalikuwa kama "mtego" kwa sababu walikuwa wakitumia uzuri, fumbo na uongo kutega watu ili wawaamini na kuasi juu ya Mungu.