sw_tn/ezk/12/17.md

333 B

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika 2:1.

kula mkate wako kwa kutetemeka, na kunywa maji yako kwa mtetemo na hofu

"ishi maisha yako ya kila siku kwa hofu kubwa." Kula na kunywa ni mambo ya kawaida yanayofanyika katika maisha na hivyo mwambie Ezekieli kuishi kwa hofu kubwa.