sw_tn/ezk/12/11.md

12 lines
372 B
Markdown

# katika giza
"usiku wakati kuna giza"
# Nitausambaza wavu wangu juu yake naye atanaswa kwenye mtego wangu
Neno "wavu" na "mtego" yametumika kwa sababu hii ni njia tofauti kukamata mnyama. Mungu anajua kiongozi wa Yerusalemu atafanya nini na ameweka matukio ili kwamba anyakuliwe kama anapojaribu kukimbia.
# nitamleta hata Babeli
"nitamfanya achuliwe kwenda Babeli"