sw_tn/ezk/12/07.md

230 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anawaonyesha watu wa Israeli pundi watalazimika kwenye uhamishoni.

chimba shimo kwenye ukuta kwa mkono

"chimba shimo kwenye ukuta kwa mkono wangu"

nje katika giza

"nje usiku wakati kuna giza"