sw_tn/ezk/11/16.md

446 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anampatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli kuhusu wale waliotawanyika.

nimekuwa mtakatifu kwa ajili yao

"nimekuwa pamoja nao kuwalinda."

nchi ambazo walizoend

"mataifa ambayo waliyochukuliwa"

Nitawakusanya kutoka kwa watu, na kuwakutanisha kutoka kwenye nchi

Yahwe amesema hii ahadi mara mbili katika njia tofauti tofauti kwa ajili ya kuonyesha kwamba ni muhimu.

chukizo

"ya kutisha," au "ya kuchukiza"