sw_tn/ezk/11/08.md

585 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

Mmeuogopa upanga, kwa hiyo nauleta huo upanga juu yenu

Neno "upanga" linasimama badala ya adui maadui ambao watashambulia kwa upanga wao.

kuwaweka kwenye mikono ya wageni

Hapa neno "mikono" hapa linawakilisha nguvu au utawala. "nitawawezesha wageni kuwachukua"

Mtaanguka kwa upanga

Neno "upanga" linasimama badala ya adui maadui ambao watawashambulia kwa upanga zao. "Kuanguka kwa upanga" inamaana kwamba watauawa kwa upanga.

mtajua yakwamba mimi ni Yahwe

"mtaelewa kwamba mimi ni Yahwe.