sw_tn/ezk/10/09.md

645 B

tazama!

Neno "tazama" linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

magurudumu

Tazama ilivyotafsiriwa katika 1:15.

kerubi

mnyama mwenye mabawa manne

kama jiwe la zabarajadi

"Zabarajadi" ni ngumu sana, jiwe la thamani. Hii zabarajadi ilikuwa ni kama kijani au bluu. Zumaridi ni kijani aina ya zabarajadi na zumaridi ina aina ya bluu ya zabarajadi.

gurudumu linalokingamana na gurudumu jingine

Neno "kingamana" linamaanisha "kukingama" au "kukutana" au "kugusana."

popote kichwa kilipoelekea

"popote kerubi lilipoelekea" au "popote kerubi lilipoelekea"

kichwa

Hii inarejea kwa kichwa cha kerubi lolote.