sw_tn/ezk/10/06.md

655 B

Ikawa kuhusu

Hili neno limetumika hapa kuonyesha tendo linaanzia wapi.

Mungu alipoamwamuru yule mtu aliyekuwa amevaa nguo za kitani na kusema

Hii inarejea habari iliyokuwa imetolewa katikka 10:1. Baada ya kuchukua kerubi na utukufu wa Mungu katika 10:3-5, Ezekieli anarudi kueleza kuhusu yule mtu aliyekuwa amevalia nguo ya kitani.

yule mtu aliyevalia nguo ya kitani

Tazama maana ya nguo ya kitani ilivyotafsiriwa katika 9:1.

pembeni ya gurudumu

Tazama neno gurudumu lilivyotafsiriwa katika 1:15.

Nikaona juu ya kerubi kitu kama mkono wa mtu juu ya mabawa yao

"nikaona yule kerubi alikuwa na kitu kama mkono wa mtu chini ya mabawa yao"