sw_tn/ezk/10/03.md

242 B

kerubi

Tazama ilivyotafsiriwa katika 10:3.

upande kuume

inayoelekea mashariki, "upande wa kulia" inaelekea kusini.

utukufu wa Yahwe

Tazama ilivyotafsiriwa katika 1:27.

ukauijaza nyumba

Neno "uka" inarejea kwa utukufu wa Mungu.