sw_tn/ezk/10/01.md

760 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu ono lililoelezwa katika 8:1.

kueleka kuba

"kuelekea paa iliyofunikwa"

kerubi

mnyama mwenye mabawa manne

kama rangi ya samawati

Rangi ya samawati ni jiwe la thamani lenye rangi ya blii au kijani.

mwonekano wake ulikuwa kama kiti cha enzi

"inayofanana kama kiti cha enzi"

mtu aliyevaa nguo ya kitani

imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.

Nenda kati ya magurudumu

Tanzama katika sura ya 1:15.

vipande vya mbao vilivyoungua

Hivi ni vipande vya mbao vilivyobaki baada ya moto. Ni vyeusi, vinang'aa rangi nyekundu na chungwa wanapokuwa vyamoto sana.

watawanye juu ya nchi

"wanyunyize juu ya mji" au "watawanye juu ya mji"