sw_tn/ezk/08/01.md

766 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaeleza kuhusu ono jingine aliloliona.

Hivyo ikawa

Hili neno limetumika hapa kuonyesha mwanzo wa mwanzo wa sehemu ya hadithi.

katika mwaka wa sita

"katika mwaka wa sita wa uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"

mwezi wa sita, katika siku ya tano ya mwezi

"siku ya sita ya mwezi." Huu ni mwezi wa sita wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya tano inakaribia mwezi wa tisa katika kalenda za Magharibi.

mkono wa Bwana Yahwe ukanguka tena juu yangu

baaaye Ezekieli alipoona kitu kama mkono. Wengine wanaweza kuchagua kufikiria mkono sitiari kwa ajili ya uwepo wa Yahwe au uweza. (UDB)

Bwana Yahwe

Jina la Mungu aliye hai.

anguka juu

"shikilia"

mng'ao wa chuma

Wakati ikiwa yamoto sana, hung'aa kwa njano au mwanga wa chungwa.