sw_tn/ezk/07/10.md

741 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Israeli.

Tazama!

"Tazama!" ai "Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai!"

Siku inakuja

"Siku ya hukumu yako inakuja."

Kifo kimetoweka

Hii inaonyesha kwamba yamkini hicho kifo kitakuja kwa Israeli. "Kifo kimeanza kuja kwa Israeli" au "Mambo ya kuogofya yameanza kutokea."

Gongo limechipua kwa maua mengi ya kiburi

"Ua limeanza kukua juu ya fimbo na umekua pamoja na kiburi." Hapa neno gongo linawakilisha pengine Israeli au udhalimu. Maana zinazowezekana 1) "Watu wa Israeli wamekuwa na kuburi sana" au "Watu wa Israeli wamekuwa na wadhalimu na kiburi sana."

Udhalimu umekuwa kwenye gongo la uovu

"Udhalimu wa watu umewapeleka kufanya mambo maovu zaidi"