sw_tn/ezk/07/08.md

875 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yayhwe kwa watu wa Israeli.

Sasa hivi punde

"Hivi punde baada ya mda mfupi sana"

nitamwaga ghadhabu yangu juu yako na kujaza hasira yangu juu yako

Yahwe anatumia haya maneno "mwaga" na "kujaza" kulinganisha utendaji wake na kumwaga maji na kujaza chupa. Haya maneno mawili kimsingi yana maanisha kitu kimoja na kusisitiza ukali wa adhabu ya Yahwe. "nitakiuadhibu vikali kwa sababu ninahasira sana.."

ghadhabu

"hasira" au "hasira kubwa"

Kwa kuwa jicho langu halitatazama kwa huruma

Neno "jicho langu" linamaanisha Mungu mwenyewe. "Kwa kuwa sitatazama kwa huruma"

sitakuharibu

"sitakuacha bila adhabu" au "nitakuadhibu"

machukizo yako yatakuwa katikati yako hivyo utajua kwamba ni mimi Yahwe

"nitaufanya uzoefu wako matokeo ya tabia yako ya machikizo" au "nitakuadhibu kwa kufanya haya mambo ninayoyachukia sana"