sw_tn/ezk/07/05.md

654 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.

Bwana Yahwe

Jina la Mungu linaloonyesha kwamba yeye ni Mungu wa uwezo wote.

Msiba! Msiba wa pekee! Tazama, unakuja.

Hili tamko linamaanisha kufanya ujumbe imara sana. "Tazama, msiba wa kutisha unakuja, ambao hakuna ambaye amewahi kuupata."

Tazama

Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho. "Tazama" au "Sikiliza" au "Kuwa makini kuhusu ninachotaka kukwambia."

Mwisho umeinuka juu yako

Hukumu inayokuja inachukuliwa kana kwamba alikuwa adui akiamka kutoka usingizini.

milima haitakuwa na shangwe tena

"watu juu ya milima hawatakuwa na shangwe tena."