sw_tn/ezk/07/03.md

830 B

Maelezo ya Jumala:

Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli

mwisho uko juu yako

"uhai wako umeisha" au "mwisho wa mda wako umefika"

kutokana na njia zako

"kulingana na mambo unayoyafanya" au "kwa sababu ya mambo maovu ufanyayo"

nitaleta machukizo yako yote juu yako

"nitaufanya uzoefu wako matokeo ya tabia yako ya machikizo" au "nitakuadhibu kwa kufanya haya mambo ninayoyachukia sana"

machukizo

Hii inarejelea kwa tabia ambayo Mungu aichukiayo.

Kwa kuwa macho yangu hayatakuhurumia

"Kwa kuwa sitakutazama kwa huruma"

nitaleta njia zako juu yako

"nitakufanya mzoefu wa matokeo ya tabia yako mbaya" au "nitakuadhibu kwa mambo mabaya uyafanyayo."

machukizo yako yatakuwa katikati yako

"matokeo ya tabia yako ya chuki yatakuzunguka" au 2) "sanamu zako zitakuwa pamoja nawe na hazitakuwa na uwezo."