sw_tn/ezk/06/13.md

28 lines
789 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.
# jua kwamba mimi ndimi Yahwe
Maana zinazowezekana ni 1) "tambua mimi ndiye, ambaye, Yahwe, au 2)"tambua kwamba mimi Yahwe, ndiye Mungu wa kweli"
# kuzunguka madhabahu zao, kwa kila mlima mrefu
Maana nyingine inayowezekana ni "kuzunguka madhabahu zao, ambazo zipo katika kila mlima mrefu"
# mlima mrefu-juu ya vilele vya mlima, na chini ya mti wenye majani mabichi na mwaloni
Maana nyingine zinazowezekana ni "mlima, juu ya vilele vya milima yote, chini ya mti uliostawi, na chini ya kila mwalo mkubwa."
# kustawi
yenye afya na inayokua
# mwaloni
mti mkubwa wenye mbao imara zinazo andaliwa kwa ajili ya kivuli cha kuabudia
# Dibla
Baadhi ya maandiko yanasema Ribla. Hili lilikuwa jina la mji katika kaskazini.