sw_tn/ezk/06/08.md

1017 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.

baadhi yao ambao walioukimbia upanga

"baadhi yao waliouawa katika vita." Upanga unawakilisha kuuawa katika vita.

wakati mtakapo tawanyika miongoni mwa nchi tofauti tofauti

"wakati mtakapoenda ishi katika nchi tofauti tofauti"

nitakavoyowaponda mioyo yao ya kikahaba ambayo imeniacha

Yahwe anawazungumzia Waisraeli kana kwamba walikuwa mwanamke anayelala na watu wengi. "nilikuwa na huzuni kwa sababu walikuwa kama mke aliyeniacha na kulala na wanaume wengine"

na kwa macho yao ya kikahaba kufuata sanamu zao

Yahwe anawazungumzia Waisraeli kana kwamba walimuoa mwanamke anayetafuta wanaume wengine na kutamani kulala nao. "na kwa njia waliyoitamani kwa nguvu kuabudu sanamu"

wataonyesha chuki kwenye nyuso zao kwa udhaifu walioufanya

Maana zinazowezekana ni 1) "watajichukia wenyewe kwa sababu ya mambo yao maovu waliyoyafanya" au 2) "watayachukia mambo maovu waliyoyafanya." "Nyuso zao zitaonyesha chuki zao kwa uovu walioufanya."