sw_tn/ezk/05/13.md

535 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na watu wa Israeli na Yuda.

ghadhabu yangu itatimia

"sitakuwa na hasira tena kwa sababu nimefanya kila kitu nilichotaka kukifanya kwa sababu nilikuwa na njaa"

nitaifanya ghadhabu yangu juu yao hata kulala

Neno "ghadhabu" maana yake hasira kali sana, na hapa inarejelea kwa adhabu. "nitaacha kukuadhibu kwa sababu nimewaadhibu kwa uaminifu."

nitaridhika

"nitaridhika kwamba nimewaadhibu mno"

wakati nitakapokamilisha ghadhabu yangu juu yao

"wakati nitakapomaliza kuwaadhibu"