sw_tn/ezk/05/03.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.

Lakini chukua ... kisha chukua

Ezekieli alikuwa afanye hivi wakati aliponyoa nywele zake na ndevu (5:1) na kabla hajachoma nywele (5:1).

hesabu ndogo ya nywele kutoka kwao

"nywele chache kutoka manyoya laini ya nguo"

zifunge

Neno "wao" inarejelea nywele. nywele zilkuwa ndefu tayari hivyo Ezekieli angeweza kuzifunga.

pindo za nguo zako

Maana ziwezekanazo 1) "nguo kwenye mikono yako" ("mikono ya vazi lako") (UDB) au 2) mwishoni mwa vazi kwenye joho lako" (pindo lako").

kutoka hapo utatoka nje kwenda nyumba zote za Israeli

"kutoka huko moto utasambaa na kuwachoma watu wote wa Israeli." Yahwe anazungumzia jinsi atakavyo iadhibu Israeli kana kwamba alikuwa akienda kuweka moto kwenye nyumba na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa familia iishiyo katika nyumba.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" mfano kwa ajili ya familia iishiyo katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu wa Israeli"