sw_tn/ezk/05/01.md

1.3 KiB

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli. Kila mifano ya "miji" inarejea kwa "mji" ambao Ezekieli kuchonga kwenye tofali (4:1).

mwana wa adamu

"mwana wa mwanadamu" au "mwana wa binadamu." Mungu anamwita Ezekieli hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ananguvu na huishi milele, lakini watu hawawezi kushi milele.

kiwembe cha kinyozi

"ubapa kwa ajili ya kunyolea nywele"

pitisha wembe juu ya kichwa chako na ndevu

"nyoa kichwa chako na uso wako" au "ondoa nywele zako kutoka kichwa chako na ndevu kutoka uso wako"

Choma theluthi ya tatu ya hiyo

"Choma theluthi ya tatu ya nywele zako"

kati

katikati

wakati siku za ngome zitakapokamilika

"wakati siku za ngome ya Yerusalemu zitakapoisha"

chukua theluthi ya tatu ya nywele

"chukua moja ya tatu ya manyoya ya nywele"

na uipige kwa upanga kuzunguka mji wote

"na ipige kwa upanga wako mji wote"

tawanya theluthi yake kwenye upepo

"ruhusu upepo uvume theluthi ya mwisho ya nywele zako katika mwelekeo tofauti"

Nitasogeza upanga kufata watu

Neno "upanga" ni mfano kwa ajili ya adui maaskari ambao watawashambulia kwa panga zao, na kwa "kusogeza upanga" ni kupeleka maadui kuwafatilia na kuwashambulia kwa uapanga. (UDB)

Nitakusogoza mbali kwa upanga

"Nitauvuta upanga nje ya kibebeo chake"