sw_tn/ezk/04/04.md

766 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anendela kunena na Ezekieli.

weka dhambi ya nyumba ya Israeli juu yake

"teseka kwa kulaza upande wako kwa sababu ya dhambi zao."

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano wa familia iishiyo katika nyumba, kwa kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi iliyopita.

utachukua dhambi zao

"utakuwa na hatia za dhambi zao" au "utaadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao"

lala chini juu ya nyumba ya Israeli

"lala kuelekea ufalme wa Israeli."

Mimi mwenyewe nakuagiza kwako siku moja kuwakilisha kila mwaka wa adhabu yao

"Mimi mwenyewe nimekuamuru kulala upande wako kwa namba ile ile ya siku kama namba ya miaka ambayo nitakayo waadhibu."

kila mwaka wa ghadhabu yao

kila mwaka watakaoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao