sw_tn/ezk/03/20.md

391 B

weka kizuizi mbele yake

"fanya jambo baya litokee kwake" au "kumfanya atende dhambi wazi."

atakufa katika dhambi yake

"atakufa mapema" au "atakufa kama mtu mwenye hatia kwa sababu hajanitii"

nitaiaka damu yake kutoka mkono wako

Hii ni lugha ya kushikilia wajibu wa mtu au hatia ya uuaji. "nitakutenda kana kwamba ulikuwa umemuua"

kwa kuwa alikuwa ameonywa

"tangu ulipomuonya"