sw_tn/ezk/03/12.md

773 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelia kueleza kuhusu maono aliyaona.

nikasikia nyuma yangu sauti yenye tetemeko la aridhi: "Ubarikiwe utukufu wa Yahwe kutoka mahali pake!"

Baadhi ya matoleo yanachukua "Baraka .. mahali!" kama maneno ambayo "tetemeko kubwa" iliyonenwa. "Nimesikia nyumba yangu sauti ya tetemeko kubwa, lisemalo, 'Utukufu u kwa Yahwe kutoka mahali pake!"'

sauti ya tetemeko kubwa

Haiko wazi kama sauti ilitoka kutoka kwenye tetemeko, kutoka kwenye sauti kulikuwa na sauti kubwa kama tetemeko, au kutoka kwenye mabawa na magurudumu. sauti kama sauti ya tetemeko kubwa" au "sauti ikinena; sauti ilisikika kama tetemeko kubwa"

utukufu wa yahwe

sifa kuu ya Yahwe

sauti ya tetemeko kuu

"sauti kuu na ngurumo yenye nguvu kama sauti ya tetemeko"