sw_tn/ezk/03/08.md

868 B

Maelezo ya Jumla:

Roho wa Mungu anaendelea kunena na Ezekieli.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linamtaharisha Ezekieli kuwa makini kwa habari mpya inayofuata.

Nimeufanya uso wako wa ukaidi kama nyuso zao

Neno "sura" limetumika kusimama kwa ajili ya watu. "Nimekufanya kaidi kama walivyo."

Nimekufanya ... paji la uso kuwa gumu kama mapaji yao

"Paji" ni sehemu ya mbele ya kichwa au nyusi za macho na ni mfano wa mtu. "Nimefanya ... wewe imara ili usisimame kufanya unachokifanya"

nimezifanya nyusi zako kama almasi, ngumu kama jiwe la kiberiti

"Nimezifanya nyusi zako kama jiwe gumu kabisa, nguma kuliko jiwe gumu sana."

jiwe gumu sana

jiwe ambalo ni gumu kuanzisha moto kwa kulichoma kwa chuma au jiwe jingine

nyumba

Huu ni mfano wa familia inayoishi katika familia, kwa kwesi hiiWaisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu"