sw_tn/ezk/03/01.md

965 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kuelelza kuhusu maono aliyoyaona.

Alinambia

Neno "Yeye" inarejelea kwa ""yule aliyefanana na mwanadamu" (1:26).

Mwanadamu

"Mwana wa mwanandamu" Mungu anamuita Ezekilei hivi kusisitiza kwamba Ezekieli ni mwanadamu tu. Mungu ana nguvu na huishi milele, lakini watu hawataishi milele.

umepata nini

Hii inarejelea kwa hati ya kukunja ambao Mungu aliyokuwa akimpa.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano kwa familia inayoishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi. "kundi la watu wa Israeli"

hiyo hati ya kukunja

Matoleo mengi yana "hati ya kukunjua" au "hii hati ya kukunjua."

lisha tumbo lako na jaza tumbo lako kwa hii hati ya kukunjua

Neno "tumbo" linarejelea kwenye sehemu ya mwili watu wanayoweza kuiona kutoka nje. Neno "tumbo" linarejelea ndani ya ogani ndani ya tumbo.

ilikuwa tamu kama asali

Asali ina ladha tamu, na hati ya kukunjua inaladha tamu.