sw_tn/ezk/01/24.md

1.4 KiB

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu maono ya viumbe hai.

Kisha nikasikia sauti ya mabawa yao. Kama mlio wa maji mengi. Kama sauti ya mwenye enzi popote walipoelekea. Kama

"Popote walipoelekea, nalisikia sauti ya mabawa yao. Kama sauti ya maji yanayoruka.

Kama ... maji. Kama ... tembea. Kama ... dhoruba ya mvua. Kama ... jeshi

Hizi sentensi hazijakamilika kwa sababu Ezekieli alikuwa akionyesha kwamba alikuwa na furaha kubwa kuhusu alichokiona. "Mabawa yalisikika kama ... maji. Yalisikika kama ... tembea. Yalisikika kama ... dhoruba ya mvua. Yalisikika ... jeshi."

maji yaliyotibuka

Hii inamaana rahisi "maji mengi." Ingeweza kurejelewa kwa "mto wenye sauti kubwa"

Kama sauti ya enzi

Wakati mwingine Biblia inarejea radi kama "sauti ya enzi." "Ilisikika kama sauti ya mwenyezi Mungu"

Kama sauti ya dhoruba ya mvua

"Kama sauti ya dhoruba kubwa sana"

Popote waliposimama

"Popote viumbe walipoacha kutembea"

walishusha mabawa yao

"hao viumbe waliacha mabawa yao kuning'ining'a chini karibu na sehemu zao." Walifanya hivyo wakati walipoacha kutumia mabawa yao kuruka.

Sauti ikaja kutoka juu ya anga

"Mtu aliyekuwa juu ya anga akinena." Kama unahitaji kueleza sauti hii ni ya nani, unaweza kujaribu kuitambua kama sauti ya Yahwe

anga juu ya vichwa vyao

"anga lililokuwa juu ya vichwa vya viumbe"

anga

huonekana kama mpira mtupu uliokatwa juu na chini.