sw_tn/ezk/01/07.md

635 B

Sentensi Unganishi:

Ezekieli anaendelea kueleza ono lake.

lakini nyao za miguu yao zilikuwa kama kwato za ndama

"lakini miguu yao ilionekana kama kwato za ndama"

kwato za ndama

sehemu ngumu ya mguu wa ndama

zilizokuwa zinang'aa kama shaba iliyosuguliwa

"zilizokuwa zimeng'aa kama shaba ambayo iliyokuwa imeoshwa." Hii inaelezea miguu ya viumbe.

juu ya pande zote nne

"juu ya pande zote nne za miili yao"

Kwa zote nne, nyuso zao na mabawa zilikuwa kama hivi"

"Kwa viumbe vyote vinne, mabawa yao na nyuso zao zilikuwa kama hivi"

na hawakugeuka walipokuwa wakienda

"na viumbe havikugeuka vilipokuwa vikitembea"