sw_tn/exo/39/40.md

209 B

Maelezo ya Jumla

Bezaleli na kundi lake wanaendelea kuonyesha yote waliyo mtengenezea Musa.

Wakaleta

"Watu wa Israeli wakaleta"

maskani, kwa ajili ya hema ya kukutania

Hii ina maana ya kitu kimoja.