sw_tn/exo/39/27.md

407 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

Kisha wakafanya ... amemwamuru Musa

Kwa 39:27-29 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 28:39 na 28:40 na 28:42

kilemba

Hichi ni kifuniko cha kichwa kinacho valiwa na wanaume kilicho tengenezwa na mistari mirefu ya kitambaa.

ukumbuu

Hichi ni kitambaa kirefu kinacho valiwa mabegani au kufungwa kiunoni.