sw_tn/exo/39/17.md

169 B

Maelezo ya Jumla

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kutengeneza mavazi ya kikuhani.

kamba mbili

"kamba zilizo tengenezwa kwa dhahabu safi na kusokotwa kama waya"