sw_tn/exo/38/27.md

188 B

Na talanta mia moja za fedha zilitumiwa kutengeneza

Talanta ni kilogramu 34.

mia moja ... sabini

"100 ... 70"

shekeli

Shekeli ni gramu 11

Bezaleli

Hili ni jina la mwanaume.