sw_tn/exo/38/21.md

435 B

Sentensi Unganishi

Bazaleli na kundi lake wanaendelea kujenga maskani na vifaa.

vilivyohesabiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Ithamari

Hili ni jina la mwanaume.

Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huru

"Bezaleli" na "Uri" ni majina ya wanaume.

Yahweh alikuwa amemwamuru Musa

"kila kitu Yahweh alicho kuwa amemuamuru Musa kufanya"

Oholiabu mwana wa Ahisamaki

"Oholiabu" na "Ahisamaki" ni majina ya wanaume.