sw_tn/exo/36/37.md

230 B

Naye akafanya ... vilikuwa vya shaba

Kwa 36:37-38 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 26:36

Naye akafanya

Hapa "naye" ya husu Bezaleli na wanao mfanyia kazi. "Bezaleli na wanaume wake wakafanya"

kisitiri

pazia