sw_tn/exo/36/31.md

210 B

Bezaleli akafanya

Kwa 36:31-34 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno katika 26:26 na 26:29

magharibi

katika upande wa magharibi

mwisho mmoja mpaka ule mwingine

upande mmoja wa maskani kwenda mwingine