forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
283 B
Markdown
12 lines
283 B
Markdown
# Hivyo wachonga mawe ... akaviunganisha pamoja
|
|
|
|
Kwa 38:8-10 ona jinsi ulivyo tafsiri haya maneno kwenye 26:1
|
|
|
|
# mapazia kumi yaliyo jengwa kitamba kizuri
|
|
|
|
Haya mapazia ni vipande vya nguo vilivyo shonwa na pomaja ili viweze kuunda ukuta au hema
|
|
|
|
# Bezaleli
|
|
|
|
Hili ni jinala mwanaume
|