sw_tn/exo/36/01.md

330 B

Maelezo ya Jumla

Musa anaendelea kuongea na watu.

Bezaleli

Hili ni jina la mwanaume.

Oholiabu

Hili ni jinala mwanaume

ambaye Yahweh aliye mpa ustadi na uwezo

Hapa ustadi na uwezo unaongelewa kana kwamba ni kitu Yahweh anacho weza kuweka ndani ya mtu

kadiri ya yote Yahweh aliyo amuru

"kama Yahweh alivyo amuru"