sw_tn/exo/35/25.md

329 B

buluu, dhambarau, au sufu nyekundu

Maana zinazo wezekana ni 1) "vitu vilivyo tiwa buluu, zambarau, na sufu nyekund," 2) "buluu, zambarau na iliyo tiwa sufu nyekundu"

wenye mioyo iliyochochewa

Hapa "mioyo" ya husu wanawake. Mioyo ya wanawake iliyo mjibu Mungu inazungumziwa kana kwamba ni maji yaliyo tibuliwa na mafuriko.