sw_tn/exo/34/12.md

16 lines
512 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa. Hapa ana mwambia nini Musa na watu wafanye.
# wata kuwa mtego kwako
Watu wanao jaribu wengine kufanya dhambi wana zungumziwa kama ni mtego.
# ambaye jina lake ni Uwivu
Neno "jina" hapa la wakilisha tabia ya Mungu.
# Yahweh, ambaye jina lake ni Uwivu
Neno "Uwivu" hapa lina maana ya kuwa Mungu anajali kutunza hesima yake. Kama watu wake wakiabudu miungu mingine, ana poteza heshima, kwasababu watu wasipo muheshimu, watu wengine pia hawata muheshimu.