sw_tn/exo/34/08.md

343 B

Kama sasa nimepata upendeleo machoni pako

Kumpendeza mtu kuna zungumziwa kama kupata upendeleo machoni pao.

maasi yetu na dhambi zetu

Maneno "maasi" na "dhambi" kimzingi ina maana moja na yame unganishwa kwa msisitizo.

utuchukuwe kama urithi wako

Kitu ambacho mtu ana miliki milele kina zungumziwa kana kwamba ni kitu mtu alirithi.