sw_tn/exo/33/10.md

230 B

Yahweh alizungumza na Musa uso kwa uso

Kuzungumza moja kwa moja pasipo ndoto na maono, inaongelewa kana kwamba Musa na Mungu walionana uso walipo ongea.

kijana

mkubwa wakutosha kuwa mwanajeshi (17:8), lakini mdogo kwa Musa