sw_tn/exo/33/01.md

443 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa hasira yake.

hiyo nchi, inayo tiririka kwa maziwa na asali

Nchi ilikuwa nzuri kwa kufuga mifugo na kuotesha mazao.

inayo tiririka

"imejawa na" au "yenye utele wa"

maziwa

Sababu maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, hii inawakilisha chakula cha mifugo.

asali

Sababu asali inatokana na mahua, hii inawakilisha chakula cha mazao.

watu wajehuri

"watu wanao goma kubadilika"