sw_tn/exo/32/33.md

422 B

Mtu ye yote aliyenitenda dhambi ndiye nitakayemfuta katika kitabu changu

Maneno "mtu ye yote" ya wakilisha "hilo jina la mtu"

kitabu changu

Hii ya husu kitabu cha Yahweh Musa alicho zungumzia katika 32:30

Yahweh akawapiga hao watu

Hili pigo la weza kuwa ugonjwa mkali.

alivyoifanya ile ndama, ambayo Aruni aliifanya

Japo kuwa Aruni alifanya ndama, watu walikuwa na hatia kwasababu walimwambia Aruni afanye.