sw_tn/exo/32/07.md

252 B

Wamepotoka upesi kuiacha ile njia niliyowaamuru

Hapa Mungu anaongelea watu kutotii alicho waamuru kana kwamba aliwaambia waenende kwenye njia maalumu na wakaiacha.

wamejifanyizia ndama ya kuyeyusha

"Wamefanya sanamu ya dhahabu iliyo kama ndama"