sw_tn/exo/32/05.md

187 B

Haruni alipoona jambo hili

"Aruni alipoona kile watu walicho fanya"

wakaondoka wacheze

"kuwa na sherehe ya kukithiri." Watu yawezakana walifanya matendo ya kimapenzi ya kuchukiza.