sw_tn/exo/32/03.md

350 B

Watu wote

Hii ya husu watu wote waliyo mkataa Musa kama kiongozi wao na Mungu wa Musa kama Mungu wao.

akaitengeneza kwa patasi, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha

Aruni aliyayusha dhahabu na kumimina kwenye patasi iliyo kuwa na umbo la ndama. Dhahabu ilipo kuwa ngumu, aliondoa patasi, na dhahabu iliyo ngumu ikawa na umbo la ndama.