sw_tn/exo/30/37.md

452 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.

hamtajifanyia

Hii ya husu watu wa Israeli.

sawasawa

"kwa viungo kama hivyo"

utakuwa kwenu mtakatifu

"Utahesabu kuwa takatifu"

atakatiliwa mbali na watu wake

Umbo "katiliwa" lina maana sio chini ya tatu. Inaweza elezewa katika tensi tendaji. 1) "hatahesabiwa kuwa moja wa watu wa Israeli" 2)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 3) "watu wa Israeli lazima wa muue"