sw_tn/exo/30/05.md

12 lines
182 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
# sanduku la ushuhuda
Sanduku ni chombo chenye zile amri.
# nitakapokutana nawe
Hapa "nawe" ya husu Musa.