sw_tn/exo/28/25.md

207 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

mikufu miwili ya kusokotwa

"mikufu iliyo sokotwa kama kamba"

vile vijalizo viwili

Hizi ni vijalizo viwili vinavyo funga mawe.